Chuo cha ualimu LUA kilianzishwa mwaka 2006 na kufanikiwa kupata namba ya usajili LUA/TYTY/20227 kutoka kwa mamlaka husika, Tangu hapo tumekua tukitoa huduma ya mafunzo ya ualimu kwa ngazi tofauti tofauti ikiwemo cetifica na Diploma.
kwa takribani Muongo sasa tumeendelea kuwa hitaji muhimu kwa vijana wa kitanzainia wenye ndoto ya kua walimu, mwaka 2008 tulifanikiwa kutoa walimu 209 wa ngazi ya elimu ya awali, kwa kweli tunajivunia sana sisi kama Chuo cha ualimu LUA kuchangia kiasi kikubwa kwenye jamii ya watanzania.